Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Tukiwambia mje na daftari na pen Simba ikicheza mnaleta kiburi .... Wachezaji wanaruka ruka Kama njegere.
Na lazima mpigwe faini au kufungiwa uhuni mliofanya kwa wageni pale uwanjan kabla hawanaingia uwanjan Ni aibu kwa taifa.
Na lazima mpigwe faini au kufungiwa uhuni mliofanya kwa wageni pale uwanjan kabla hawanaingia uwanjan Ni aibu kwa taifa.