Mpka Sasa Yanga hawajui wafanye nin.

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
1,539
Reaction score
3,456
Tukiwambia mje na daftari na pen Simba ikicheza mnaleta kiburi .... Wachezaji wanaruka ruka Kama njegere.

Na lazima mpigwe faini au kufungiwa uhuni mliofanya kwa wageni pale uwanjan kabla hawanaingia uwanjan Ni aibu kwa taifa.
 
Mbona haraka haraka kama mwendawazimy, andika vizuri ueleweke na weka na picha
 
Wamefanya nini kwa hao watunisia mkuu?
 
Mayele kakutana na bwana mrefu huku wa kiarabu
anasindikizwa mpa sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…