mwananyiha
JF-Expert Member
- Mar 11, 2008
- 248
- 43
Jina...sura...kabila...tabia...vyote ni muhimu kuwafahamisha watu ili asaidiwe ipasavyo.
Wapendwa wanajamvi nina mdogo wangu anaenda kusoma masters ughaibuni-Swiss kwa hiyo ndugu zangu Wabongo na East Africa kwa ujumla mlio wenyeji huko naomba mmpokee na kumsaidia mambo mbalimbali ili ajione yupo nyumabani.
Atakuja huko mwezi September na atakuwa maeneo ya Neushatel.
Ndo maana baba mchungaji yupo....AHSANTE!Umesahau kitu Muhimu! Jinsia na Umri
Acha wivu bana...ndio yeye ni wa kwanza kwao...kwenye ukoo...kijijini....shuleni kwao/chuoni...ofisini....na pia TANZANIA.Sidhani kama kuna ubaya akimtafutia mdogo wake wenyeji sehemu ambayo hakuwahi kufika kabla...why do you have to make this so public? whats so special yeye ndo wa kwanza?
Umesahau kitu Muhimu! Jinsia na Umri
kabila la nini mkuu?Jina...sura...kabila...tabia...vyote ni muhimu kuwafahamisha watu ili asaidiwe ipasavyo.
LOL...mchungaji taratibu bana...ha hhhha...'Schengen Visa' inafanya kazi kote huko.
hilo limenishangaza hata mimi....btw....lini Yaeda, nyanyi wamenona sana ndo msimu wao....uje nikuwindie hata tuwili twa supuwhy do you have to make this so public? whats so special yeye ndo wa kwanza?
why do you have to make this so public? whats so special yeye ndo wa kwanza?
Si nijue....kama silipendi kabila lake simpokei!!kabila la nini mkuu?
Si nijue....kama silipendi kabila lake simpokei!!
Umesahau kitu Muhimu! Jinsia na Umri
mmmhhhhhh walioko huko wamekusikia
Acha wivu bana...ndio yeye ni wa kwanza kwao...kwenye ukoo...kijijini....shuleni kwao/chuoni...ofisini....na pia TANZANIA.Sidhani kama kuna ubaya akimtafutia mdogo wake wenyeji sehemu ambayo hakuwahi kufika kabla...
Sio miaka yako...miaka ya mdogo!!Me miaka 30. Jamani lakini mujue issue ni serious
Yeye si wa kwanza. Inapendeza unapokwenda sehemu ukawa na wenyeji, na ingekuwa yeye ni wa kwanza basi uzi huu isingekuwa na maana kwa sababu ingekuwa sawa na kuomba jamvi msibani.
Mbu watu wanataka Jinsia na Kabila ili wajue pa kuingilia sasa wewe hujagundua
Afu baba Mchungaji nina wasi wasi nae hao kondoo wake watakuwa washapotea