King Zenji
Senior Member
- Feb 18, 2008
- 178
- 18
katika vitu vinavyonifanya niache kuangalia kipindi cha origino komedi ni huyu jamaa anayeitwa mpoki, ile tabia yake ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inatudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
Pumbaffff.... Na Pumba zenu Walipokuwa EATV Wakitania Wapemba Walikuwa wazuri Leo Wapo TBC1 Kuwageza Wahaya wamekuwa sio Wabunifu Mmelazimishwa kuwaangalia
tupendage vya kwetu wajameni,tuwasaidie kwa mawazo wasiposkia ni juu yao,hao comedians wanapitia foolish age ya mafanikio ambapo pia kuna mawili wabadilike au na wao wafulie na nguo kuibwa kabisa!!!!!
Mijitu mingine foolish kabisa, yaan katika fonts zote umechagua hii?utatupeleka wewe CCBRT?nikiwa modereta siku moja mijitu kama hii server ban kabisa, eboh! sijui imetoka wapi kuja kuharibu amani hapa barazani.
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????

Wabongo bwana!!! Msitake ncheke. Yaani kipindi chenyewe "the comedy" bado mtu anahisi kujinyanyapaa mwenyewe eti mpoki anajifanya mhaya mwenye pesa. That's just comedy man! Au wewe comedy ni ya wazungu tu kama mr. bin? Vitu simple havipandi. British Council ipo kwa ajili ya watu kama wewe JojiPoji, kasome nahisi vocabulary yako ni tepetepe sana!
Mijitu mingine foolish kabisa, yaan katika fonts zote umechagua hii?utatupeleka wewe CCBRT?nikiwa modereta siku moja mijitu kama hii server ban kabisa, eboh! sijui imetoka wapi kuja kuharibu amani hapa barazani.
Mpoki naye ni mhaya, sidhani kama yuko tayari kujidhalilisha kwa namna yoyote labda kwa bahati mbaya sana bila hata yeye mwenyewe kujua. Kuwa wazi anawadhalilisha kivipi? Otherwise mi naona ze komedi kiburudani iko bomba tu.style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
Yule shori wa fake(wa kichina) alimtoa wapi jana?