FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
watu bwanaaa majina hayohayo yakitajwa kwenye nyimbo za twanga pepeta,FM academia,Akudo Impact............ tunazichekelea na kuzifatisha kuimba huku tukitoka jasho kulicheza sebene , lakini akitaja mpokiii oooooh naboreka ................... acheni chuki binafsi, au mkuuu ndo wale kundi la akina kanumbaa? hahahha maana sidhani kama kanumba na wenzie wanataka kuwatch ze comedy........... wana hasira haoooooooooo
analipwa na hao jamaa ILA INAKERAstyle anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????