yule mbunge wa mbeya mjini....
wema alienda kuwatukana siku kadhaa akaenda kupokea tuzo pale Dar live achilia mbali kuhudhuria kigodoro cha yule mmbea wa jiji alieko global......
kujishaua uwe na mipaka au hakuna tv kwenu
in mpoki voice
yule mbunge wa mbeya mjini....
wema alienda kuwatukana siku kadhaa akaenda kupokea tuzo pale Dar live achilia mbali kuhudhuria kigodoro cha yule mmbea wa jiji alieko global......
Hivi uwa unaamini drama hizi za wasanii wabongo? Nyingi ni za kutengeneza win win situation shigongo anauza na msanii anapata kiki kujiboost apate airtime shoo ziwe nyingi.....story chache sana za kweli nyingi story za kukaa mezani na kudiscuss bizne$$.
Mpoki ndiye nani?ndio leo nasikia jina lake
hahaha hivi ukiwapa udaku wa celebrity wanakulipa bei gani kibongo bongo
kuna jamaa yangu aliwapa habari wakampa sh 15,000. ni kama kuwapa habar tbc ila inategemea na uzito wa habari.. kama ni nyet tegemea neema.
♥Ukiona unapendwa sana na mademu ujue una nyota ya ukimwi
♥Ulaya wamegundua iphone 5 na sie tumegundua division 5
♥Msemo wa waache waseme mchana usiku watalala,je ukisemwa na walinzi?
♥Usiombe umtongoze demu wa hosteli ni balaa watakuja kama wanne kwenye first date halafu waliobaki hostel wenzake wote wanataka chpsi kuku chips kuku.
♥Ukimtongoza demu unamkuta na simu ya tochi lakini baada ya mda anataka blackberry mara samsung gallaxy hadi htc
♥zamani wanaume walikuwa wananyanyua vyuma kupata mademu,siku hizi mademu wanataka hela nyanyua chuma uishie kuwa baunsa.
Kwani bongo fleva haiwezekani kwa Muheshimiwa?
hahaha hivi ukiwapa udaku wa celebrity wanakulipa bei gani kibongo bongo
Sijui wanakupa ngapi ila kama umbea wa selebuleti mkubwa mtonyo lazima uwe mrefu.
selebuleti lol.... ka muheshimiwa hivi
Hahaaa hao waheshimiwa wanaandikwa (Jina limehifadhiwa) kwa sababu ukiwazushia umbea lazima wakupeleke court na kudai mabilioni selebuleti wanaouza hawa ambao hawana meno kitaa unaweza ukawaandika hadi habari za chumbani na hawafanyi kitu.
TBC ndio wanatoa hivyo..... huyo jamaa yako aliwapa media gani. nna habari kuhusu muheshimiwa Fulani hivi.....