Ndo mana nikasema kwa upwnde wangu.kila mtu anachekeshwa kwa namna yake.mimi binafsi vichekesho vya matendo sio issue kwangu.Huyu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....
Huyu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....
Mkuu unaijua pesa wewe? Au umejiandikia tu, yani nikulipe afu ukatae kumsikiliza? Kwa utajiri gani ulionao?Huyu? 😳😳😳😳😳😳 Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora?😳😳😳😳😳😳 Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....
Wengine matusi ndo yanatuchekesha.... Haya sema kingine.Mpoki ni mtukanaji sio mchekeshaji maneno mengi anatukana wala hachekeshi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sometimes anakosea kama binadamu kama ile kumsema stamina kuwa na ufupi ule.mimi sipendagi kumpknda mtu kimaumbile na mpoki kuna time anazingua.ila hayo hayafanyi nisiikubali kazi yake.Kuna tofauti kati ya kuwa mchekeshaji na mropokoji. Huyu jamaa ni mropokaji na mara nyingi mdhalilishaji kwa kuamini kuwa anachekesha. Anyways umesema vizuri kuwa ni bora kwa upande wako.
HahhaMpoki ni mtukanaji sio mchekeshaji maneno mengi anatukana wala hachekeshi
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahahMkuu unaijua pesa wewe? Au umejiandikia tu, yani nikulipe afu ukatae kumsikiliza? Kwa utajiri gani ulionao?
Je umefatiria comedian wangapi..Jamaa anajua sana yuko fiti.japokuwa ni kwa upande wangu huwenda wengine wakaona kuna wazuri zaidi japokuwa na mimi nakubali wapo wazuri ila mpoki ni zaidi KWANGU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitsjie wengine mkuu.
hahahahaJamaa anajua sana yuko fiti.japokuwa ni kwa upande wangu huwenda wengine wakaona kuna wazuri zaidi japokuwa na mimi nakubali wapo wazuri ila mpoki ni zaidi KWANGU.
Sent using Jamii Forums mobile app