Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari
Burn vipi? Nifanye sherehe juu ya mtu mwingine kuumia? Niliposema kuwa anaboa watu wengi si kuwa namaanisha ananiboa na mimi. Kusema kweli yeye na Joti ndio waliokua sababu kuu ya mimi kuangalia Orijino Komedi nilipokuwa Bongo.
Nimesema anaeboa watu wengi kutokana na thread ingine iliyowahi kuwa hapa watu wengi wakasema anawaboa.
get well soon tajiri la bhukhobhakuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "orijino komedi", mpoki (sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.
Inasemekana mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu mikocheni mission hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa tmj.
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
Nilidhani hii habari imekufurahisha mkuu, lakini unaweza ku edit post yako maana inaonekana kama unashabikia kuumia kwake.
Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.
Inasemekana Mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu Mikocheni Mission Hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa TMJ.
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.
Inasemekana Mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu Mikocheni Mission Hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa TMJ.
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
Burn vipi? Nifanye sherehe juu ya mtu mwingine kuumia? Niliposema kuwa anaboa watu wengi si kuwa namaanisha ananiboa na mimi. Kusema kweli yeye na Joti ndio waliokua sababu kuu ya mimi kuangalia Orijino Komedi nilipokuwa Bongo.
Nimesema anaeboa watu wengi kutokana na thread ingine iliyowahi kuwa hapa watu wengi wakasema anawaboa.
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
kamanda hiyo lazima aitoe kwenye luninga, mtaona next week,
pole sana mpiganaji, labda watu hwajui ulikotoka enzi zileeeeeeee------90s