Mpoki wa EFM aache kukejeli watu.

true say ... kuna watu huwa wanajisahau walipo toka kaka .. ila Mungu ni wa sisi ote.
 
Acha kukaza misuli, huwa anachekesha tu na hakuna kitu serious kiasi hicho..
 
true say ... kuna watu huwa wanajisahau walipo toka kaka .. ila Mungu ni wa sisi ote.

Kweli. Hivyo visenti anavyopata sasa vinamvimbisha bichwa. Anakejeli hata waliomtoa. Mpoki hivi sasa ana majivuno fulani hivi.
 
Hatuwezi kumwacha Mpoki Mujuni aendelee kutukana watu. Tutamkosoa tu.
Ukimfanyia utafiti vizuri, komedi zake ni kukejeli watu. Sasa akiacha atakosa cha kufanya. Tumuache tu, ila mimi nawahurumia wafanyakazi wa ndani na wanaoishi kwa ndugu anavyowasumbua. Na kuna siku nakumbuka kama mara mbili hivi alileta mas hara ya kuisifia shingo ya waziri fulani kwenye hili baraza mh. Pombe, eti anaipenda!! Nahisi kuna kitu anakitafta!!
 
Mkuu wala usipnick hiyo nayo niana yake ya comedy ya majivuno so take it easy
 
Inawezekana kejeli unazoona wewe kwake yeye ni kuburudisha.. kwenye utani kejeli zipo pamoja na dharau kama zote..

Ni mtu usimchukulie serious kihivyo hata kama amekugusa kwenye idara yako
Ndicho huyuu mkuu anachokosea kuchulia seriously hajui pale mwenzie ana entertain tu
 
Ndicho huyuu mkuu anachokosea kuchulia seriously hajui pale mwenzie ana entertain tu
Sometimes si utani tena. Anakejeli, anasimanga na hata kutukana watu waziwazi. Kalewa sifa za kijingaaa
 
Nilishaliona hili na nilikua natafuta namna ya kumfikishia ujumbe... jamaa anatoka kwenye mstari mara kibao tu. Ajirekebishe
 
Katika maisha kuna hali ya kujiona victim kila inapozungumziwa jamii flan muhusika alipo,,,, ni mapitio ya kawaida tuu mixer na stress za ancle John
 
Katika maisha kuna hali ya kujiona victim kila inapozungumziwa jamii flan muhusika alipo,,,, ni mapitio ya kawaida tuu mixer na stress za ancle John

Mwambieni ajirekebishe. Kunanga watu si vizuri. Mpanda ngazi.......ka
 
Kanichekesha sana leo anavokatika mauno eti "jibebe"[emoji23] jamaa kweli comedian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…