Mpoto aibiwa vifaa vya gari,atoa m.2 kwa atakayemrudshia

Mpoto aibiwa vifaa vya gari,atoa m.2 kwa atakayemrudshia

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Kamata fursa twenzetu, mrisho kaibiwa vifaa vya gari lake so katoa zawadi ya 2 milion kwa atakayefanksha kuvpata.
Vjana tuchangamkie fursa ya kutafta vifaa vya mjomba tupate hzo cheda.
Kamata fursa twenzetu!!!!!
 
ni gari gani jamani ile baloon ya kizamani? value yake ile ni milioni 2.5 nma jinsi ilivyochoka...jamani mastaa wetu kwa uongo? ptuuuu
 
hweheee.. vijana wamepata fursa alizo kuwa a promote.
 
Nimecheki nao, wamesema hyo mil 2 akanunue suti avae manake amezidi kuvaa ngozi kama mtu wa kale.
simpendi kama nini! anapenda sifa yule wakati aliiba idea ya mtu! yule dada sanga sijui yupo wapi! mtu unapewa lift unapiga honi na kushika brek?
 
simpendi kama nini! Anapenda sifa yule wakati aliiba idea ya mtu! Yule dada sanga sijui yupo wapi!

irene yupo dar. Anaproduce ile the team ya eatv,pia anaonekana kwenye matangazo ya tgnp. Ameolewa na mtasha.
 
simpendi kama nini! anapenda sifa yule wakati aliiba idea ya mtu! yule dada sanga sijui yupo wapi! mtu unapewa lift unapiga honi na kushika brek?

Yani hunishindi mimi.
Hata kuoga sijui kama anajua.
 
Kamata fursa twenzetu, mrisho kaibiwa vifaa vya gari lake so katoa zawadi ya 2 milion kwa atakayefanksha kuvpata.
Vjana tuchangamkie fursa ya kutafta vifaa vya mjomba tupate hzo cheda.
Kamata fursa twenzetu!!!!!

Akome.....
 
Mtu yeyote anayeshabikia upumbavu wa clouds eti sijui fursa sijui nyoko nyoko gani, ujuwe amelaaniwa. Wangeliwasha moto kabisa na hilo body chakavu la hilo mfano wa gari.
 
Back
Top Bottom