Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
gari lenyewe la mil 4, afu atoe mil 2.
Changa la macho.
hebu cheki na masela wa hapo kino wampelekee mpoto vifaa vyake eti!
simpendi kama nini! anapenda sifa yule wakati aliiba idea ya mtu! yule dada sanga sijui yupo wapi! mtu unapewa lift unapiga honi na kushika brek?Nimecheki nao, wamesema hyo mil 2 akanunue suti avae manake amezidi kuvaa ngozi kama mtu wa kale.
simpendi kama nini! Anapenda sifa yule wakati aliiba idea ya mtu! Yule dada sanga sijui yupo wapi!
simpendi kama nini! anapenda sifa yule wakati aliiba idea ya mtu! yule dada sanga sijui yupo wapi! mtu unapewa lift unapiga honi na kushika brek?
Kamata fursa twenzetu, mrisho kaibiwa vifaa vya gari lake so katoa zawadi ya 2 milion kwa atakayefanksha kuvpata.
Vjana tuchangamkie fursa ya kutafta vifaa vya mjomba tupate hzo cheda.
Kamata fursa twenzetu!!!!!