Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Anzisha thread yako kuhusu huyo barnaba, kwanza barnaba ndio nani?Mbona barnaba kavaa nguo imechanika mapaja yanaonekana yupo msibani hapo hapo. lakini hujasema kua familia ya ruge imsitiri kwa kumshonea hata kwa kilaka palipo chanika
Sent using unknown device
Dah.. Nimecheka sana wale funza acha tu nawakumbukaHuko Bukoba lazima arudi na funza muguuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko Bukoba lazima arudi na funza muguuni
Mzee wa nyumba haikosi mbilimbi [emoji23][emoji23][emoji23]
halafu mbona simple sana. Nawewe tengeneza jamii forum ya kwako ili uwe huru na mamlaka ya kuzuia wengine wasitoe maoni ambayo wewe binafsi huyataki kwenye mada zako.Anzisha thread yako kuhusu huyo barnaba, kwanza barnaba ndio nani?
Nimeamini watu walio jaa pale msibani si kila mmoja yupo kimajonzi na harakati za msiba, kuna wengine wameenda kiuchunguzi na kupeleleza maisha ya watu. Mtu kufikia hatua hadi kumchunguza unyayo sio jambo dogoUmmeongea nini sasa? Kwani kwa wewe umuonavvyo mpoto anahitaji msaada wa kiatu?
Sent using Unknown device
Imekomaa kama ya Shaka Zulu enzi hizo
Nimeamini watu walio jaa pale msibani si kila mmoja yupo kimajonzi na harakati za msiba, kuna wengine wameenda kiuchunguzi na kupeleleza maisha ya watu. Mtu kufikia hatua hadi kumchunguza unyayo sio jambo dogo
Naamini hata angevaa ndala bado wangemuanzishia uzi kua jamaa katia aibu hana ela hata ya viatu mpaka avae ndala?
Sent using unknown device