Mpoto kuwa MC au kutangaza hawezi

Magnify

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
229
Reaction score
46
Huyu mchekeshaji mi naona anachekesha ktk movie lkn kwa kutangaza au kuwa MC kiukweli hawezi anaboa cjui ni kwangu tu!!!!!
 
Wote na Mwenzie Lulu wanapwaya tu! kazi ya Mpoki hiyo.
 
Mwenyewe kasema ili uwe muigizaji kweli igiza jukwaani, ni kama alikuwa anajisema
 
Mi naona shoo imepoa mno,tena angalau hawa washirki walivyoanza lkini mwanzo niliona kama wanaboa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…