Nashangaa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unamfunguliaje thread mtu asiyejua hata umuhimu wa kuvaa ndala?
Hii style ya kutokuvaa viatu na hata uimbaji wa mashairi yake ameiga kutoka kwa mwanamuziki wa Jamaica, anaitwa Mutabaruka.Unamfunguliaje thread mtu asiyejua hata umuhimu wa kuvaa ndala?
Zama zimebadilika. Sasa hivi hatawali mjomba, tunaye mbabe.
Kuna siku JK alikuwa kwenye sherehe, sikumbiki jina la sherehe. Nadhani JK alijua mic imezimwa wakati amekaa kwenye kiti.
Wasanii wakaanza kuitwa na moja wapo alikuwa ni Mpoto. JK akasema "huyu naye amekuja kufanya nini'' mic yake ikasikika bila ya yeye kujua. hahahaha
Hizi Zama ni za mbabe, lazima uwe mbabe kutunga mashairi ya mbabe.
Mi namuonaga mchafuu...Na mishavu yake kaa dondola.
Hiyo sifa anayo pia Mkuu.Mi namuonaga mchafuu...
Mpoto yupo China hayupo Tz unaelekea mwezi sasa ivi toka aondoke kwny tamasha sijui la kiswahiliIlikuwa ni desturi ktk kila tukio la kitaifa au laaa kumuona Mpoto akitumbuiza na kutunzwa na Sizonje iwe kwenye lile jengo jeupe au pengine!
Siku hizi simuoni tena Mpoto akialikwa upande wa utumbuizaji kama ilivyo ada before or after event,
au mashairi ya kitendawili yamemchefua Sizonje ndo kaamua kumpotezea?
Watu wa Pwani wanajua ule usemi wa "keep your friends close and your enemies closer".JK Alikuwa anakosolewa sana na Mpoto ila alikuajaga kumwambia japo unanikosoa sana kwenye nyimbo zako chukua hela hii kajengee nyumba,alimpa nasikia pesa ndefu tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamfunguliaje thread mtu asiyejua hata umuhimu wa kuvaa ndala?
Dahhhh nmechekaaaa mpka nimejambaaaaUnamfunguliaje thread mtu asiyejua hata umuhimu wa kuvaa ndala?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Na mishavu yake kaa dondola.