Ila na wao ni wananchi wanastahili kutunziwa siri zao kama wewe unavyotunziwa hata hivyo hao wengine kesi zao zikomahakamani na mahakama ndio inahukumu wewe huna uwezo wa kuhukumu kama unafikiri waliiba au kufanya chochote cha kuvunja sheria na una ushahidi peleka suala lako katika vyombo vya sheria --- hapo tukokwa maslahi ya nchi sio mtu mmoja mmoja au makundi ya watu au vyama au dini au kabila
Ungelikuwa unaenda kanisani na kitunguu
Huyo orton mwandishi wa makala hii ni mkenya
Shy,
Kutunziwa siri zao ni sawa, lakini siri za aina gani?
Siku zote huwa naheshimu mawazo yako, ila katika hili, natofautiana sana na wewe. Kama hauna hoja soma tu halafu uondoke, subiri utachangia katika sehemu nyingine.
Huyu Mama sijawahi ona kilaza kama huyu jamani huyuuu Ghasia?ni balaa sana haya labda walipana fadhila....kweli serikalini kulindana kubebana.....hayaa ila ukweli utabakia pale pale...
Si unajua kuwa uchaguzi mkuu umekaribia? sasa kama hakuta kuwa na kulindana unadhani nani atarudi madarakani?
Tutajua tu madhambi yenu ya kifisadi, one way or another. Penye nia pana njia.
Key issue ni kuwa integrity ya serikali ishakua tainted. Trying to gag whistleblowers at this time could be an ill-advised move. It goes to show kuna maovu mnaficha. Watu watakua more anxious na hizo "secret" documents zitakua more sought after. Promoting transparency would be a better strategy.
Badala ya kuongeza jitihada za kuficha uchafu wenu, ongezeni juhudi za kujitakasa.
hakuna ufisadi unaofichuliwa bila whistle blower. inajulikana duniani kote.
tena hawa huwa wanalindwa sana na jeshi la polisi, kwani huchua maovu makubwa na wameweka rehani maisha yao na familia zao. Kwa faida ya nchi.
Ni muhimu huyu mama waziri, katika maelezo yake awashukuru kwanza waliofichua uozo, na kuahidi, kuwalinda kutokana na wachache wanaomaliza nchi yetu. Halafu ndo aseme huo utumbo wake.
hivi definition ya uzalendo siku hizi ikoje?
ni kulinda na kutetea wafadhili wote wa ccm hasa wanaotoa pesa nyingi kwa uchaguzi?
Hii ndio definition anayoifahamu huyu mama! Sio definition ya wana JF. Yani huyu mama anapoteza muda wa watu kwa kuongea utumbo kama huu.