ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Kabla ya kuamini jambo jaribu kulitafiti japo kidogo kwa kuulizauliza ili upate uhakika,hii aliitumia mfalme wa uyahudi ili kujua wapi amezaliwa Yesu. Kama huna wa kuuliza au hupendi basi soma vitabu mbali mbali hii inaitwa literature review. Kama umesikia basi jitahidi sana ukaone kwa macho yako.
Walaghai,waongo na wazushi wameongezeka sana siku hizi,nisingependa uwe mmoja wa wanaodanganywa kwa sababu za siri na dhahiri.
Jitambue.Kuna watu wanajawabu kwa kila swali.
Walaghai,waongo na wazushi wameongezeka sana siku hizi,nisingependa uwe mmoja wa wanaodanganywa kwa sababu za siri na dhahiri.
Jitambue.Kuna watu wanajawabu kwa kila swali.