Neno "MPUMBAVU" limekuwa likileta tafrani kubwa sana katika siku za hivi karibuni. Nimeona niweke hapa maana sanifu la neno hili.
MPUMBAVU - Mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa, juha, zuzu, jura, nyange, baghami, bahau, ----, hambe, jahili, maharasi, zebe, mbumbumbu.
Source: Kamusi ya kiswahili Sanifu (Toleo la pili) 2004.