Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote.
Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki. Hakika Mungu atatenda na kwenye maisha yako pia.