Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Hiyo laana itawatafunaHawapaswi kufanikiwa kwa lolote kwa sababu ni mamluki wa kuisukumia CCM madarakani
Hawasomi shule za kataLakini bado unawapelekea mtoto wako wakufundishie? Au watoto wako unawafundisha mwenyewe nyumbani kwako?
MWENZIO TAYARI ANAJUTA KUWA MWANAUME. ANASEMA ANATAMANI AWE MWANAMKE AWE ANALAMBWA TU ANAPEWA PESA..... ASHAKUWA KUKU BWEGE. NDO MAANA YUPO HIVYO....Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote.
Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki. Hakika Mungu atatenda na kwenye maisha yako pia.
Amesha left group sasa anatamani awe anapelekewa moto tu.Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote.
Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki. Hakika Mungu atatenda na kwenye maisha yako pia.
Wanamhusisha na ushoga, imesikitika sanaNasubiria kuiona comment ya muhusika kwa hamu, sio kidogo pliz akitupia mnitag🧐🧐
Unamaanisha speaker haifai tena? 🤣🤣🤣Wanamhusisha na ushoga, imesikitika sana
We jamaa huna mda wa kuwapa tumaini lolote walimu 🤭🤭 sema hawa jamaa wanafki sana , ni wajinga kupitilizaHawapaswi kufanikiwa kwa lolote kwa sababu ni mamluki wa kuisukumia CCM madarakani
Hatutaki maombi yake,yamejaa upungazezeMimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote.
Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki. Hakika Mungu atatenda na kwenye maisha yako pia.
Labda tukamuokote yeyeSolution anayotoa nikuacha kazi ya ualimu eti mkaokote makopo
Wewe ndo utakuwa mjingaWe jamaa huna mda wa kuwapa tumaini lolote walimu 🤭🤭 sema hawa jamaa wanafki sana , ni wajinga kupitiliza
Shoga siyo wa kucheka naempwayungu village naona ghafla umekuwa adui wa taifa
Amesema anatamani kuwa mwanamke Ili maisha yake yawe mazuri kama wanawakeUnamaanisha speaker haifai tena? 🤣🤣🤣