mpwayungu village
Mtoa mada kwa taarf za huyu MTU ni mtu wa upinde
Jamii forum ya sasa imekaa kiumbea na kimajungu labda hili swa lipoje na kwann ...
Mimi siwez kumchukia mtu ambae anafanya kazi rasm inayomuingizia kipato na hajagusa maisha yangu kwa ubaya
Kwa Tanzania kuna vingi vya kuanz nAvyo kama Taifa hadi kazi za utumishi mfano mataifa makubwa ikitokea mkate tuu umepanda cent 50 wapo njia nA wanatoa watu madarakani ila sisi wa Tanzania hata tukiingizwa vidole machon tuakaambiw tunatibiw tunatulia
Angalia hali ya maisha
Tazama hali za huduma za afya maji/umeme /elimu bado ni usengee mtupu nazn ni sisi tuanze kujichukia
Nawez kuunga mkono wanao wachukia walimu kwa sababu za kisiasa tuu.