Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito.
Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba na de libolo ya congo inakiputa kwa speed ya 5g ndio kitu unapenda ?😁😁😁 Huku unapigwa makofi ? Be a man Mwalimu, huo upande sio wa kuchagua.
Usiwaone wakichomoza ngazi za juu, wengine kupata kazi tu wamechezea rungu za kutosha bablai,...Kuna Binti flani kutoka chuga nilikutana nae pande hii ya dar anafukuzia kua msanii wa maigizo, ameonekana kwenye series hii ya Azam kidogo Lakini mpaka kufika huko kachezea mijeredi ya kutosha, so usipende maisha yao ridhika na ualimu wako.
Mbona Kuna walimu wametoboa kwenye ualimu? Mwalimu mkuu wa ilboru anaghorofa lake pande za kiranyi Hapo chuga, mbona walimu wengine Wana maisha fresh? Japo Kuna wengine ni wazee wa cadet mpauko.
Ukiendelea kuwasema yatakukuta mazito 😁😁.