K kichapo2015 Member Joined Jun 10, 2011 Posts 23 Reaction score 0 Jun 15, 2011 #1 alipenya chadema paka kuwa mwenyekiti wa cdm imtu,leo baada ya uchaguzi aweka wazi yy ni ccm na kiongoz mkubwa wa ccm aondoka nae kwenye gari.nashauri wanacdm sasa kunamkumbo mkubwa kwenye chama chetu so tuwe makini kwa mageuzi ya kweli,nawasilisha
alipenya chadema paka kuwa mwenyekiti wa cdm imtu,leo baada ya uchaguzi aweka wazi yy ni ccm na kiongoz mkubwa wa ccm aondoka nae kwenye gari.nashauri wanacdm sasa kunamkumbo mkubwa kwenye chama chetu so tuwe makini kwa mageuzi ya kweli,nawasilisha
NgumiJiwe JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 860 Reaction score 305 Jun 15, 2011 #2 katangaza kukihama/kurudisha kadi ya chadema?kama alikuwa mwenyekiti wa chadema manake ana kadi ya chadema huyu!
katangaza kukihama/kurudisha kadi ya chadema?kama alikuwa mwenyekiti wa chadema manake ana kadi ya chadema huyu!