Mpya kutoka Kenya: Mbunge anapokosa adabu na hekima!

Mpya kutoka Kenya: Mbunge anapokosa adabu na hekima!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Wakuu,

Hii ya leo kali. Jionee...


[video]https://www.youtube.com/watch?v=5jcmDPyhtUI&feature=player_embedded[/video]​
 
Ebana eeeh kweli majirani wana vituko!!

Halafu jamaa naona kavaa kama kapelo ya Gucci....teh teh teh....

Siasa za Kenya bana....full burudani.
 
Ebana eeeh kweli majirani wana vituko!!

Halafu jamaa naona kavaa kama kapelo ya Gucci....teh teh teh....

Siasa za Kenya bana....full burudani.

jamaa anajiita mike Sonko, sonko meaning filthy rich, anapenda media attention kama sijui nini... na hiyo cap ni ya gucci
 
Huyu ndio yule sharobaro alitolewa bungeni kwa kuvaa hereni
 
Hivyo ndivyo ilivyo lakini wanchi walimkubali na mahereni zake zote, hi ni kwasababu2 ya kuwaheshimu na kuwajali raia wasiokuwa na uwezo ndipo aliyekuwa mbunge wa makadara Reuben Ndolo akaambiwa na wanachi afunge virago na Michael Sonko kukaribishwa kwa shangwe na vifijo..... Ningependa 2 kusema hivi wakati 2lionao sasa sio wakati wa kuwachagua viongozi wenye ubinafsi, wanaopenda familia zao na kujilimbikizia mihela. ili hali raia wanaoongozwa na hao viongozi wanateseka hawana kazi, kununua chakula ni shida na wengine wanatufanya kuwa wa2mwa.. Tuamke ili 2jue ninani wanaopaswa kupewa majukumu ya kuongoza wengine.. Ni mtazamo 2 wapendwa!
 
Hapa sasa nazidi kuongea pumba na tazama vile wabunge wengine wanakula kona maana jamaa ni aibu tupu...

 
Last edited by a moderator:
Kama hapa anakuwa amelewa au yuko sober? lol

Mkuu,

Utani kando, jamaa ni zungu la unga na vituko vyake ni sawia na anavyoendesha maisha yake.
Jamaa walikosea sana kumpa kura maana hawakumjua character-wise yuko kivipi. Now things
are getting clearer na wanchukia kweli.

Kama NN alivyosema siasa ya Kenya samtaimu ni full burudani!
 
Ahahahahaaaaa huyu jamaa ananiacha hoi sana aisee. I kind like him though....
 
Hahahahaha! Democracy by the ballot box will take us Africans to crazy places nakwambia.

Hii western system ya democracy inahitaji society iwe na level flani ya elimu, hahahaha sasa unaona ma street boy wanachagua watu utafkiri ushabiki wa mpira!
 
Drug Dealer # 1. That's where the money comes from. What a clown!!
 
What a load of crap!!! this is totally embarassing...He has vutaad the madawa ya kulevya that he trades in....What kind of behaviour is this for a member of parliament? He is behaving like the oboho that he is!!!
OMG this is a Kenyan member of Parliament?!! Gosh I am hanging my head in shame!!!
 
Huyu jamaa kiboko, lakini atleast anajali maskini waliompigia kura na kusimamia haki zao(Wapi na Wapi he is just stirring controversy and giving them little handouts and not creating jobs!!! Do not be decieved by all that drama. It's just drama no substance. Jamaa ni jail bird kwanza)

sio kama wale jamaa wanao sinzia sinzia pale Dodoma kwenye viti vyao vya kifalme.

Let's see if he has staying power...Politics in Kenya requires a machiavellian mind and not a 3 stooges type of comedy!! People can see through the monkey see, monkey do, type of politics. All those sorrounding him are mostly jobless youth who want kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom