Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Ebana eeeh kweli majirani wana vituko!!
Halafu jamaa naona kavaa kama kapelo ya Gucci....teh teh teh....
Siasa za Kenya bana....full burudani.
Hapa sasa nazidi kuongea pumba na tazama vile wabunge wengine wanakula kona maana jamaa ni aibu tupu...
Kama hapa anakuwa amelewa au yuko sober? lol
Huyu jamaa kiboko, lakini atleast anajali maskini waliompigia kura na kusimamia haki zao(Wapi na Wapi he is just stirring controversy and giving them little handouts and not creating jobs!!! Do not be decieved by all that drama. It's just drama no substance. Jamaa ni jail bird kwanza)
sio kama wale jamaa wanao sinzia sinzia pale Dodoma kwenye viti vyao vya kifalme.