Mpya! Kuuza pilau nyumba za ibada

Ustadh GIRITA kweli leo tuliswali pamoja Msikiti wa Kwamsusa Mbagala Rangi Tatu(mimi mgeni) kwangu mimi ni mara ya kwanza ya kuona tukio kama lile ila biashara naziona tu za kofia, kanzu, tende' madawa hata Sharbeti ya KHASUS ila Ubwawa! tena naona kuwaharibia mamantilie biashara yao, ni batili kabisa
 
Mbona tende huwa zinauzwa na dawa pia za asili huwa zinauzwa hapo? Iweje pilau ? Acha wajasiriamali wafanye biashara!
Tende ni tunda takatifu na tena imebarikiwa kulioko matunda yote' kuuzwa msikitini ruksa! Sio ubwabwa
 
Wakiristo biashara yao pombe
Waislamu biashara yao chakula
Wayahudi biashara yao mabenki/Finance
AMANA BANK, ya MYAHUDI?
waislamu ndio waanzilishi wa wa nabenki,Tena enzi za Mtume muhammad(s.a.w) zilikua zikiitwa "BEYTUL MAAL"
 
Naona mapovu yameanza,kuna waliotegemea uzi utahusu makanisa
Hapa a mm alivyosema PILAU nikawaza vingine kabisa nikazama fasta kujua hilo pilau lilikuwa kwa mfumo upi DVD au kwa FLASHDISK
sasa hapo sijaona la kushangaza
na hii Inaonesha waislam ni namna gani tunapenda kutafuta RIDHIKI ya halali
Bila ujanja ujanja
Sasa kilichokushangaza nini hapo mbna kawaida hiyo
 
Mbagala kuna kuna shida gani?,huu ushamba wa mji unawasumbua sana.
Wewe Mbagala unaijua au unaisikia? Kwa taarifa yako, Mbagala usiifikiri ile ya alioiimba DIAMONDI (mbele jalala) sasa hivi kumekucha ile mbya!
 
Kula ni SUNA. Umetoka ktk ibada then piga PILAU ushibe
 
Wewe Mbagala unaijua au unaisikia? Kwa taarifa yako, Mbagala usiifikiri ile ya alioiimba DIAMONDI (mbele jalala) sasa hivi kumekucha ile mbya!
Mimi nimemuuliza jamaa mmoja huko juu kuiponda Mbagala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…