Mpya! Kuuza pilau nyumba za ibada

Naona mapovu yameanza,kuna waliotegemea uzi utahusu makanisa
Wewe ndio unaonekana una udini,comment yako ni namba 3 na hakuna comment juu yako iliyotoa hayo mapovu tena kwa misingi ya udini! Badilika.
 
Ulivosema pilau nilishtuka! Kumbe ni pilau hili hili la msosi a.k.a wali mchafu🤔, sijaona tatizo hapo ubunifu ni muhimu kwenye biashara, kwa kufanya hivo ana uhakika na wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…