Mpya kwa wale wanaotakiwa kuconfirm their allocation

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Nimepata ataarifa kwamba tcu watatoa maelekezo mapya leo ya nini cha kufanya ili uweze kuconfirm,
pia kwa watakaotaka msaada zaidi wanadai mida ya 9:30 kuna afisa atawaelekeza,
PLEASE KWA AMBAO MPO DAR KAMA VP NENDENI TCU ILI MTUSAIDIE TULIO MBALI NINI CHA KUFANYA.
Ofisi zao zipo mikocheni, unashukia kituo cha science, upande zilipo ofisi za ttcl kuna njia inaelekea rose garden, unaenda na njia hiyo hiyo tcu ijo upande wa kushoto.
 
Kwa atakaye enda akomae na jamaa kwamba watatusaidia vp bodi ya mkopo, maana kozi walizojichanganya wao kutupeleka hazina mkopo, wakati tulizochagua zilikuwa na uhakika wa mkopo.
 
Dah?wakuu mlioko dsm 2saidieni coz hapa hata hamu ya chuo ishaisha.
 
Kwa atakaye enda akomae na jamaa kwamba watatusaidia vp bodi ya mkopo, maana kozi walizojichanganya wao kutupeleka hazina mkopo, wakati tulizochagua zilikuwa na uhakika wa mkopo.

Sure man mfano me nimetupwa ifm and m2 mwenyewe ni st.kayumba so inakuwa hatari tupu.
 
hv hayo majina niwote au wale walio chaguliwa vyuo na facult tofaut na walivyo omba! Ufafanuz naomba...
 
aaf wakuu em tuambizane jaman et naskia mwaka wetu hamna loan asilimia 100. ni kwell au uzush?
 
aaf wakuu em tuambizane jaman et naskia mwaka wetu hamna loan asilimia 100. ni kwell au uzush?

hakuna kitu kama hiyo, ninavyojua ni kwamba 80% ya wizara imeenda kwenye loan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…