MPyA SOMA: SCRENNING TEST FOR ALL 1ST YEAR 2013/14 AT SOKOINE UNIVERSITY OF AGRI[SUA]

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
There will be a test at 26th of october,tc ol about testing the knowledge for all 1st year student 2013/14! If you fail automatically you ll b required to study it...!bt when u pass t wij b over ,so u ll reduce the cost of a lots of courses!nawasilisha frm UPDATEDBOY AT SUA
 
Mulugo kaliloga hili taifa kiukweli products zake zimeenea kila mahali!!
 

sijaona umuhimu wa kuweka matangazo ya chuoni kwenu jamvini alafu we dogo c ulitakaga kusoma BVM...piga buku mdogo wangu usishinde kupost kila kitu cha chuoni kwenu hapa jukwaani...siku nyingine utatupa ratiba ya vipindi vyenu acha ulimbukeni ----- ww´....utaliwa kichwa we shinda jukwaani...soma ----- ww
 

Tuko pamoja dogo! Ule mkakati wako uligonga mwamba nini dogo? Mbona sijakuona kwenye darasa la BVM?
 

thanx bro
 
mimi ningekua mwalimu wako ningekushauri ukajifunze kuandika kwanza!!
 
Lugano kawaida kila chuo kina utaratibu wake so wewe piga shule tu
 
what is screnning test?

Ni mtihani(test) ya english language ambayo kila mwaka wa kwanza anayeanza lazima afanye tena mwanzo kabisa mwa semister(wiki ya pili baada ya kufungua semister ya kwanza).

Kama mwanafunzi akifaulu hasomi somo la communication skill 1(ambalo halina credit) na kama akifeli analisoma na kulifanyia pepa mwisho wa semister kwenye UE.
 

Aisee wewe pia ni mmoja wa wanachuo watarajiwa wa SUA? Kazi kwelikweli! Binafsi nimeshindwa kukuelewa unamaanisha nini katika bandiko lako humu!
Kwani kuna shida gani kuandika kwa kiswahili badala hii ya ki-mulugomulugo?
 
nipo injinia
Hata huko siyo kubaya dogo, piga kitabu kijana.

Ila ulivyotusumbua kipindi kile unalilia BVM nilitamani nikuone halafu nikutie makofi ya haja!! Ha ha ha haaaaaaaaa, kwa kweli ulisumbua sana na hiyo Family consumer yako Bora wamekusikia angalau utulie huko huko kwa ma-injinia.
 

mi nikadhani ni screening kumbe ni screnning!

sasa kuna umuhimu gani wa hii test sababu naona haiongezi wala haipunguzi!
 
kila tangazo la chuoni kwenu unalitupia humu, sizani kama ilikuwa ni muhimu sana humu JF, kama sikosei utakuwa ni first year wewe, ambae huamini kama leo upo chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…