MPyA SOMA: SCRENNING TEST FOR ALL 1ST YEAR 2013/14 AT SOKOINE UNIVERSITY OF AGRI[SUA]

kila tangazo la chuoni kwenu unalitupia humu, sizani kama ilikuwa ni muhimu sana humu JF, kama sikosei utakuwa ni first year wewe, ambae huamini kama leo upo chuo.

nanga wewe ,unadhan kla anaeingia jf n 1st yr?
 
Aisee wewe pia ni mmoja wa wanachuo watarajiwa wa SUA? Kazi kwelikweli! Binafsi nimeshindwa kukuelewa unamaanisha nini katika bandiko lako humu!
Kwani kuna shida gani kuandika kwa kiswahili badala hii ya ki-mulugomulugo?

c mulugo type ni WAZIRI WA ELIMU TYPE
 

thanx bro,2tafutane basi nipo main 0768260834
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…