Mpya! Wanahitajika madereva kwa haraka

Mpya! Wanahitajika madereva kwa haraka

eddie255

Senior Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
104
Reaction score
53
Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi usiku

Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu inayopatikana kupitia namba 0744773776

Mtaarifu na mwenzako
 
Uadimu wa kazi za kuajiriwa umewafanya waajiri wanaotangaza nafasi za kazi kuwa na viburi kweli kweli. Tangazo lako lina-assume watafuta kazi za udereva ni wachovu wanaoweza kupelekeshwa kama utakavyo. Huelezi ni kazi gani na wapi, mshahara na mambo mengine...
 
Tuma maombi utaitwa ofisini utaambiwa mustakabali wa kazi asante
 
Uadimu wa kazi za kuajiriwa umewafanya waajiri wanaotangaza nafasi za kazi kuwa na viburi kweli kweli. Tangazo lako lina-assume watafuta kazi za udereva ni wachovu wanaoweza kupelekeshwa kama utakavyo. Huelezi ni kazi gani na wapi, mshahara na mambo mengine...
Mkuu matapeli wengi
 
Vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva hamhitaji?

Wataendesha nini? Leseni daraja gani linahitajika?
 
Nawajua sana. Ukituma maombi wanakuambia utume ada.... Wengine wamefikia hatua ya kukodi shehemu ya muda kama ofisi, wanaita waombaji, kila mmoja kwa wakati wake, wanajazishwa fomu, mpaka picha wanapiga na kusaini mkataba. Yote hayo wanakuweka sawa ili wakupige.
Angalia tu kwanza hilo tangazo lilivyoandikwa😂😂 halafu hiyo kampuni nina wasiwasi hata kama ilishawahi kuwepo dunian
 
Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi usiku

Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu inayopatikana kupitia namba 0744773776

Mtaarifu na mwenzako
Fursa ya kazi kwa madereva wote? ahahahahahahah
 
Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi usiku

Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu inayopatikana kupitia namba 0744773776

Mtaarifu na mwenzako
Kaka na sis wadodoma ukiwa nazo tukumbuke
Boda boda nae si dereva? Waambie watume [emoji3][emoji3]
 
Bango halina tofauti na lile bango utalikuta mtaani kwenye sehemu tofauti tofauti likisema

Kwa matatizo ya ndoa,kazi,bahati na uchumba mpigie Mzee Mangoma kutoka milima ya ukinga.
 
Kwa wingi wa madereva nchini yaani gari kabla halijanunuliwa linakuwa lishapata dereva what happens mpaka mnatafuta madereva kwa tangazo uchwara.
 
Mleta mada leta uthibitisho hata wa cheti cha usajili wa hiyo kampuni yako.
Matapeli wamejaa na wanasumbua sana ndugu zetu majobless..

Kama una lengo la kutapeli watu na kuonya acha mara moja utakufa mdomo wazi.
 
Back
Top Bottom