Tuma maombi utaitwa ofisini utaambiwa mustakabali wa kazi asanteUadimu wa kazi za kuajiriwa umewafanya waajiri wanaotangaza nafasi za kazi kuwa na viburi kweli kweli. Tangazo lako lina-assume watafuta kazi za udereva ni wachovu wanaoweza kupelekeshwa kama utakavyo. Huelezi ni kazi gani na wapi, mshahara na mambo mengine...
Kwa taarifa yako tangazo la nafasi ya kazi linatakiwa kuonyesha hayo niliyokuambia. Anyways, kwa hali ya Bongo utapata wengi mno mpaka utaomba poo!Tuma maombi utaitwa ofisini utaambiwa mustakabali wa kazi asante
Mkuu matapeli wengiUadimu wa kazi za kuajiriwa umewafanya waajiri wanaotangaza nafasi za kazi kuwa na viburi kweli kweli. Tangazo lako lina-assume watafuta kazi za udereva ni wachovu wanaoweza kupelekeshwa kama utakavyo. Huelezi ni kazi gani na wapi, mshahara na mambo mengine...
Nakazia *Mkuu matapeli wengi
Nawajua sana. Ukituma maombi wanakuambia utume ada.... Wengine wamefikia hatua ya kukodi shehemu ya muda kama ofisi, wanaita waombaji, kila mmoja kwa wakati wake, wanajazishwa fomu, mpaka picha wanapiga na kusaini mkataba. Yote hayo wanakuweka sawa ili wakupige.Mkuu matapeli wengi
Angalia tu kwanza hilo tangazo lilivyoandikwa😂😂 halafu hiyo kampuni nina wasiwasi hata kama ilishawahi kuwepo dunianNawajua sana. Ukituma maombi wanakuambia utume ada.... Wengine wamefikia hatua ya kukodi shehemu ya muda kama ofisi, wanaita waombaji, kila mmoja kwa wakati wake, wanajazishwa fomu, mpaka picha wanapiga na kusaini mkataba. Yote hayo wanakuweka sawa ili wakupige.
Mnampopoa huyu choko mpaka rahaAcha kuichafua kampuni ya watu. Hiyo ni kampuni ya uingereza mnata kuibia watu kwa kutumia jina lake.
Fursa ya kazi kwa madereva wote? ahahahahahahahHabari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi usiku
Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu inayopatikana kupitia namba 0744773776
Mtaarifu na mwenzako
Boda boda nae si dereva? Waambie watume [emoji3][emoji3]Fursa ya kazi kwa madereva wote? ahahahahahahah
Kaka na sis wadodoma ukiwa nazo tukumbukeHabari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi usiku
Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu inayopatikana kupitia namba 0744773776
Mtaarifu na mwenzako
Boda boda nae si dereva? Waambie watume [emoji3][emoji3]