Mpya: Waombao ajira za ualimu TAMISEMI kuna kipengele kimeongezwa

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Habari wakuu,

Kwa wale WAOMBAO ualimu, Tamisemi Kuna kipengele kimeongezeka ambacho ni uzoefu wa kufundisha.
Kipengele hicho kipo baada ya sehemu iliyoandikwa viambatanisho vingine.

Kipengele hiki kinaonekana kwa waombaji wapya kuanzia juzi usiku, ebu cross check profile yako Kama wamekuongezea.

NOTE: KIMEONGEZWA BAADA YA WABUNGE KULALAMIKA KWAMBA KUNA WATU WANAJITOLEA MWAKA WA 6 HUU NA KILA WAKIOMBA AJIRA HAWAPATI

NOTE 2: ZINGATIA ALIEPOST TAARIFA HII NI NANI PIA
 
Leta picha kwanza Mana mikila nikiingia kwenye account sikioni
 
So wewe ni Ticha wa Muda mrefu?

Mi nasubiria bana si unajua tena mambo ya ajira tena mkuu, au nipe connection inawezekana uko kwenye kitengo nyeti
 
Lakini, mwaka huu kina nguvu sana
Mkuu Mimi nimekuuliza maana barua za kujitolea ninazo mbili kutoka shule tofauti lakini kipengele cha uzoefu wa kufundisha hakipo kwenye system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…