Mpya: Waombao ajira za ualimu TAMISEMI kuna kipengele kimeongezwa

Hao wabunge ni vilaza kweli kama ni kweli,kwani uzoufu ni mpaka ujitolee au kufanya kazi katika field husika kwa muda flani.kwa mfano Mimi sijawahi kujitolea shule yoyote ya serikali ila nimekuwa nikifundisha masomo niliyosomea tangu nihitimu chuo 2015 katika shule binafsi,je sina uzoefu?.labda wangesema waliojitolea na wala sio uzoefu
 
Mwl.

Hivi unajua maana ya Uzoefu? Yani unafundisha tangu 2015 then hauna Uzoefu
Samia usiajiri huyu mtu ,alichezea pesa za bodi vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…