Mpyaa!!!

Mpyaa!!!

samli

New Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
1
Reaction score
0
naitwa Glory ni member mpya,......nawapa hi members wote.
 
Acha kutuchanganya ndugu, wewe ni samli au GLORY? After all nimeifungua hii thread nikidhani ni tangazo la kazi au tenda.Hii ilitakiwa ipelekwe jukwaa la utambulisho. Anyway, labda kwa kuwa wahenga walisema kuku mgeni hakosi kamba mguuni basi mi nakusamehe bure.Karibu sana JF na ujisikie upo nyumbani kwa Great Thinkers!
 
Last edited by a moderator:

Haishangazi Samli kuwa Glory. Pia ni membar mpya ukweli kwa jina la Samli kama taarifa zake zinavyoonyesha ikiwa ni pamoja na kupotea mtaa na kupost huku hiyo itro yake.
 
Karibu Samli! ila hapa ni uwanja wa nafasi za kazi ndio maana unaweza kuona watu wakawa wakali kidogo hata kusahau kukuelekeza. Yawezekana huchangiwa na ukubwa wa tatizo la ajira.
 
Back
Top Bottom