naitwa Glory ni member mpya,......nawapa hi members wote.
Acha kutuchanganya ndugu, wewe ni samli au GLORY? After all nimeifungua hii thread nikidhani ni tangazo la kazi au tenda.Hii ilitakiwa ipelekwe jukwaa la utambulisho. Anyway, labda kwa kuwa wahenga walisema kuku mgeni hakosi kamba mguuni basi mi nakusamehe bure.Karibu sana JF na ujisikie upo nyumbani kwa Great Thinkers!