kwamba hakukua na co-pilot au?Kuna wakati alikuwa anaenda Kenya kwa ndege yake binafsi pilot akazimia ghafla angani akiwa anaendesha ndege mr bean akafanikiwa kuingoza ndege yeye mwenyewe huku rubani wake kazimia mpaka ndege ikatua salama nairobi Kenya.
Hizi ni baadhi ya dondoo za Mr Bean.
Hakuwa kilaza darasani alifaulu kwa distinction masomo ya sayansi.
Kuna wakati alikuwa anaenda Kenya kwa ndege yake binafsi pilot akazimia ghafla angani akiwa anaendesha ndege mr bean akafanikiwa kuingoza ndege yeye mwenyewe huku rubani wake kazimia mpaka ndege ikatua salama nairobi Kenya.
Hii ilitokea mwaka 2001akiwa safarini kwenda mapumziko nchini Kenya. Rubani wa ndege yake binafsi alizimia wakiwa angani na hapo akalazimika kuongoza ndege hiyo kwa dakika kadhaa kabla ya rubani huyo kuzinduka na kuendelea na safari.kwamba hakukua na co-pilot au?