Huyu Jamaa, hana lolote vituko anavyofanya sio ubunifu isipokuwa anaiga tu. Kama Unataka Kujua Kama hana lolote ktk comedy muangalie ch10 ktk vituko show na kitimtim utagundua yeye ndiye anayeboa sana hadi naona sikuhizi hawampi tena script. Kwa Ujumla huwa namkubali sana King Majuto maana anajua haswa anachokifanya huyo ndiye unaweza kumfananisha na Mr. Bean sio Mboto.