Mr Beast alijenga visima 100 vya maji Afrika. Hii ishu ilipotelea juju kwa juu kwa maana viongozi wa KiAfrika waliona ni kama dogo anawafundisha kazi

Mr Beast alijenga visima 100 vya maji Afrika. Hii ishu ilipotelea juju kwa juu kwa maana viongozi wa KiAfrika waliona ni kama dogo anawafundisha kazi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
2023, alijenga visima vya maji Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon, na kusaidia watu 500,000 kupata maji safi.

How come mwamba hakuwa celebrated na viongozi hawa? Hakuwa granted kama shujaa hata katika kikao chochote cha AU? Na wakati alichofanya ni kuokoa maisha ya malaki ya watoto na usalama kwa wanawake/mabinti?

Guso lako limepotea hivi hivi ila an average african politician akienda kufungua kisima kimoja anabeba jamii yote na wanahabari juu na ikifika anatafuta wapambe kwa kumpamba mwaka mzima kuwa ametenda wema mkuu.

Afrika hawataki kuwe kumekucha wanataka kuwe gizani.

We angalia mada hapa JF zinazohusu kuamka na kuona mbali kimaendeleo ukikuta wachangiaji hawazidi wawili.

We anzisha mada za ngono na upatu LBL na Mr manguruwe uone ndani ya mda mfupi watazamaji na comment
 
Umesema kweli mkuu.
Mada nyingi zenye wachangiaji wengi ni zile za ngono, mpira na dini. Lakini za kuhusu maendeleo ya Africa wachangiaji ni wachache.
 
Back
Top Bottom