Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Yap.Hongera kwao.....
Huyo dada anampeda sana Mr blue..
teh teh Keshazaa naye watoto wawili, unadhani alikua ana baridi basi??Hongera zake, bye bye baridi....
Yap.
Blue ana nyota ya kupendwa na watoto wazuri wazuri kama hawa.
Naona damu yake ni nzuri
Njoo unitoe namm kwny ubaridiHongera zake, bye bye baridi....
Mkuu sio damu yake nzuri.Katengeneza noti ndefu Halafu una starehe.Yap.
Blue ana nyota ya kupendwa na watoto wazuri wazuri kama hawa.
Naona damu yake ni nzuri
ha ha haMkuu sio damu yake nzuri.Katengeneza noti ndefu Halafu una starehe.
Ushahidi huo chiniView attachment 338175
Ha ha ha haDamu yako wewe vipi mkuu haaaaa..
Umemsahau yule jamaa anayeishi kwao mpaka leo, eti mama yake amemzuia kuondoka "home"Nimependa sana blue alichofanya,iko mijitu umri unaenda kipato kipo kazi kuzini tu.
cc kiba,mond,gk,fa,ay,joh nk.
Unamaanisha King of all Bloggers?Umemsahau yule jamaa anayeishi kwao mpaka leo, eti mama yake amemzuia kuondoka "home"
Nilifikiri utawaombea mabaya kumbekesho utaskia taraka instagram.
Ha ha ha ha
damu yangu chafu sana aisee, naishia kupata kina Maimuna wa Tandale tu, wale ambao ma-role modal wao ni kina Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, ipo siku ntaenda kigamboni kuogelea asubuhi mpaka jioni kusafisha nyota, we subiri tu
teh teh teh ,
nadhani hili nalo ni jipuNilifikiri utawaombea mabaya kumbe
"Taraka" mmmmmmmmmm
Ushindweee...kesho utaskia taraka instagram.
= talakakesho utaskia taraka instagram.
teh tehHaaaa mambo ya damu ya kunguni...akupende nani
Kila.la heri mkuu