Mr Blue (baycer) the special thread

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Hii ni kwa mashabiki wote wa huyu msanii wetu tuje tuungane kwa pamoja ww ni kama shabiki wa mr blue a.k.a baycer karibu kundini
 
Hii ni kwa mashabiki wote wa huyu msanii wetu tuje tuungane kwa pamoja ww ni kama shabiki wa mr blue a.k.a baycer karibu kundini

Leo muda si mrefu saana nimetoka kuangalia official video ya wimbo wa PESA ndipo nikapata internal force ya kuja kuanzsha hii thread huyu bwana mdogo anajuwa si mchezo, heshima kwako baycer
 
Yap, anaweza kitambo na mimi jana ndio naona hiyo video kumbe ilikua haijatoka. Imechukua muda mrefu
 
Yap, anaweza kitambo na mimi jana ndio naona hiyo video kumbe ilikua haijatoka. Imechukua muda mrefu

Yule jamaa alichukuwa muda mrefu kufanya ile video ili akitowa atowe kitu cha ukweli na ni kweli yaani lile ni boongee la video
 
No scandal to take heading its uses of talent only big up baycer
 
Blue kichwa .......kuna marapper wanaandika mistari ya kulazimisha sana......Blue anafanya anachoweza kiasili ......ndio maana hapotei na hata Wakongwe tunamsikiliza .......Ndio maana nilimpa heshima FID Q pale alipoulizwa Rapper gani anafiti kufanya colabo na T.I kama akikubali colabo na kujibu..."Kama Mangwea angekuwa hai ndio angefaa lakini kwa tuliopo Mr.Blue ndio anafiti" akamalizia "Mr.Blue utafikiri kazaliwa unyamwezini kumbe ni wa hapa hapa Bongo,Mnyamwezi wa ukweli"
 

Sijafanikiwa kukutana na wimbo mbaya wa baycer huyu jamaa ni shiiiiidaaaaaaaaaaaaa
 
blu sjui alikosea wapi daah

Unajuwa ww kama binadamu lazima ujifunze kutokana na makosa kuna kipindi ndugu yetu alikuwa akipiga kile kitu cha Arusha na kuvuta maunga alikuwa anajistarehesha lakin baadae ukaja ukawa unamuharibu haikuwa shida mashabiki wake tuka mweka kitako tukamwambia huko unako kwenda dogo siko achana na upuuzi huo unaoufanya nampongeza saana kwa kusikiliza ushaur wa mashabiki wake akaachana na vile vitu sasa hivi amekuwa ni best rapper
 
Sema baada ya bayser kukununulia Tecno na si hamasa baada ya kuangalia video.

Najuwa inakuuma sana mm kupenda kitu kizuri, unadhani huyu sawa ni msanii wenu hawezi kutowa nyimbo mpaka atafute skendo ili avume
 
Babloon hajawahi kosea kabisa that man is unique swag flan za kina fabulous since day zile za blue blue till now
 

nampenda sana blu
 
Blue alikuwa zamani miaka ya 2004 mpaka 2008,hapo alikuwa Super Handsome madada walimshobokea sana ila sasa ile sura ya u-HB yote imeondoka kabakia wakawaida tu sura ya kiume,ila ana mtoto wa kiume shombe shome.
 
Last edited by a moderator:
Blue enzi hzo bana! Sasa anafunikwa mpaka ns maunderground!
 
Blue alikuwa zamani miaka ya 2004 mpaka 2008,hapo alikuwa Super Handsome madada walimshobokea sana ila sasa ile sura ya u-HB yote imeondoka kabakia wakawaida tu sura ya kiume,ila ana mtoto wa kiume shombe shome.

Si tunaonglea mzik wake mkuu,hayo mambo ya sura waachie akina mama wa CCM waliomchugua Kikwete kisa HB..

Na kama unataka ujadil sura kaanzshe special thread ya HEMEDY PHD au MO RACKA..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…