Mr. Blue em tuambie juu ya ''PESA''...

Mr. Blue em tuambie juu ya ''PESA''...

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
duh.. Ngoma kali mnoo..
Beat, lyrics, style ya kutapika rhymes,michano,

kijana amerudi vyema..

Haya blue na wengine tufungukieni siri ya hilo NGOMA KALI.

Nilijua wimbo huu utawamaliza...
 
Mimi napenda ule wa tabasamu. Hiyo nyingine sijaisikia.
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
[Blue]
yep yep
kushuka na kupanda, jana tumeshuka cheki leo
tunapanda
nimepata idea ya kusambaza kanda, nimepata
show za kenya na uganda
burundi na rwanda, twende pamoja twende
tukasake chanda
mungu akijalia unazuia kibanda, namiliki
kiwanda
tuko pamoja, si ungefunga mkanda
yote kwasababu, unipe tabasamu
nimechoka mitabu, hii ndo tyme ya vitamu
unapendaga club? unanikumbusha long
after two weeks turudi dar es salaam
tumetesa sana baby, vibaya ukinikana baby
kuniona sina maana baby, ah ah ah baby
toka mchana alfajiri, chini utajiri
fake mpaka really, mapenzi sio siri
au kwakuwa tuko wawili
mapenzi ndo kama una siri
kama mabaya yanasemwa kila siku, daily
wazushi nao hawaiishi bifu, ha ha
maisha sio kutesa kila siku
japo pesa ndio kila kitu
[Steve]
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
cheka kidogo ni wewe baby, nione tabasamu
lako girl
ninaridhika, nafarijika, ukinuna utaniumiza
roho
cheka kidogo ni wewe baby
ninaridhika, nafirijika eh SMILE!
tabasamu, tabasamu (babylon!) baby baby
SMILE SMILE
[Blue]
I say weka miss smile, wacha mi nisebenze
achana na hao wanaosubiri mi niteleze
boogie nami superstar, tingisha hizo wezere
wezere, wezere, wezere
wakibana bongo, twende zetu kwa madebe
twende club zao twende tukaruke debe
skia hisia zao sio hisia ka za reggae
nawapiga bao kijuhudi kama chege
achana na wanga, wanga zao ni kutaga
mitaa ya upanga kule wanauza burger
unacheza charanga, unacheza ragga
hizia za kimanga sina hisia za kichaga
basi baby si ungecheka kidogo
hujui smile lako linaua mpaka vigogo
halafu uko natural wala hutumii mkorogo
pande za masaki mpaka pande za kigogo
wamekutaka hawajakupata hata kidogo
akina Roma kay abuu na shemi chogo, wooo
hawajakupata hata kidogo, hehe hehe aya aya
Blue vipi mbona sikusikii tena, sikusikii ukiflow
mbona sikusikii ukisema
niko busy na baby jamani nishasema
niko busy na wife jamani nishasema
mabaya yanasemwa kila siku, daily
wazushi nao hawaiishi bifu, ha ha
maisha sio kutesa kila siku
japo pesa ndio kila kitu
[Steve]
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
[Q Chief]
wanakesha wakiomba tuachane
kwenye shida love, nikukane
Tabasamu, nitaka nione unacheka baby
Tabasamu, sipendi kukuona ukilia baby, wewe.
Figganigga simple figga but complex in nature. Mia
 
figganigga chukua muda uusikie huo wimbo 'PESA' ..naona kabisa blue anaweza vaa viatu vya NGWEA... DISPLINE YA HALI YA JUU YA KUHESHIMU VINA.
 
Last edited by a moderator:
Ngwea alishasema pengo lake halina spea so blue hawezi fanya hata robo ya albert
 
figganigga chukua muda uusikie huo wimbo 'PESA' ..naona kabisa blue anaweza vaa viatu vya NGWEA... DISPLINE YA HALI YA JUU YA KUHESHIMU VINA.
dogo anajua kuchana ila pesa anazo?labda kiburi za coccaine
 
"waandsh wa habar nao wanataka habari,
m sina habari nipo beach ninapata upepo wa bahari"..

bonge 1 la ngomaa..

salute kwake bayser
 
"waandsh wa habar nao wanataka habari,
m sina habari nipo beach ninapata upepo wa bahari"..

bonge 1 la ngomaa..

salute kwake bayser

seems mpaka sasa habari imekosekana
 
Ngwea alishasema pengo lake halina spea so blue hawezi fanya hata robo ya albert

kwa wimbo huu..nimempa heshim BLUE.,na nimejikuta nikimkumbuka ALBERT(RIP)..
 
Tunatumiaaa...pesa x3
Tutazipata....Pesa Pesax3

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"waandsh wa habar nao wanataka habari,
m sina habari nipo beach ninapata upepo wa bahari"..

bonge 1 la ngomaa..

salute kwake bayser

hii ni kila siku..
Mchana na usiku..
Kama uswazi na kiduku..
 
Tunatumiaaa...pesa x3
Tutazipata....Pesa Pesax3

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

..nshatembea na miguu
...kabla ya kua mr.bluu
 
dogo anajua kuchana ila pesa anazo?labda kiburi za coccaine

Siko tayari kumpoteza BLUE kwa unga... Tafadhali wanasaikolojia wafanye kazi,..

Nobody is ready to to loose BLUE...

ALIE NA HIZI LYRICS AZITUPIE HAPA...
 
sidhani kama kuna msanii ana 'swagg'... kama za Blue TANZANIA,.. I tell YOU..
''TRUST ME''
 
Blue...sijaisikia huu wimbo hata......

kunamda alipotea sana baba nani vile......
 
Anatumwa kununua gazeti na dogo hamidu. Mia

..how...!!!?
Kama kuna kitu wataka sema bora useme COZ siye ndo twawapa MAISHA WASANII WETU...

MWANAUME KUUMA MANENO NOMA..
 
Back
Top Bottom