Mr Blue hataki tena tuzo za Tanzania

Mr Blue hataki tena tuzo za Tanzania

niggerchafu

Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
26
Reaction score
22
Msanii wa muziki Bongo, Mr. Blue amesema kwa sasa hataki tena kupatiwa tuzo kutoka Bongo kutokana na kunyimwa kwa muda mrefu.

Mr. Blue ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa amekuwa kwenye game kwa muda mrefu na hakupatiwa tuzo na alipofika kwa sasa kimuziki haoni kama kuna tuzo anaweza kupatiwa.

“Sitaki tena tuzo, yaani is too long nimesubiri kwa muda mrefu, Tanzania I don’t need any tuzo, kuna tuzo gani ya kunipa mimi, utanipa tuzo ya wimbo bora wa mwaka huu ‘Mbwa Koko’ hizo nyingine za nyuma unazifanyia nini?,” amesema.

“Kwenye game nimeanza toka nimekuwa mtoto mpaka nimekuwa na watoto bado nasubiri, siwezi tena kuwa na hamu ya kuitaka tuzo sasa hivi ninachoangalia ni mambo mengine, niwepo tu hata sifanyi tena kwa ajili yangu,” ameongeza.
 
Attachments

  • 20766661_371887279895071_2219534997155479552_n.jpg
    20766661_371887279895071_2219534997155479552_n.jpg
    106.7 KB · Views: 64
Msanii wa muziki Bongo, Mr. Blue amesema kwa sasa hataki tena kupatiwa tuzo kutoka Bongo kutokana na kunyimwa kwa muda mrefu.

Mr. Blue ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa amekuwa kwenye game kwa muda mrefu na hakupatiwa tuzo na alipofika kwa sasa kimuziki haoni kama kuna tuzo anaweza kupatiwa.

“Sitaki tena tuzo, yaani is too long nimesubiri kwa muda mrefu, Tanzania I don’t need any tuzo, kuna tuzo gani ya kunipa mimi, utanipa tuzo ya wimbo bora wa mwaka huu ‘Mbwa Koko’ hizo nyingine za nyuma unazifanyia nini?,” amesema.

“Kwenye game nimeanza toka nimekuwa mtoto mpaka nimekuwa na watoto bado nasubiri, siwezi tena kuwa na hamu ya kuitaka tuzo sasa hivi ninachoangalia ni mambo mengine, niwepo tu hata sifanyi tena kwa ajili yangu,” ameongeza.
Talent without brains is 'a waste'!
 
Sasa kwan lazima apate ndio ajue sasa nyimbo zake hazijafikia kiwango cha kupewa tuzo za atalazimisha apewe tuzo na huku yuko chini ya kiwango cha kuipata tuzo
 
Mr.blue Jina la kuheshimiwa,hahaha!

Nyuki wa mashineni hawadhuru hata kidogo.
 
Back
Top Bottom