mr. Blue kafiwa na mama yake mzazi

mr. Blue kafiwa na mama yake mzazi

Imany John

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
2,935
Reaction score
1,185
Kwa niaba ya wana jf wote napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole mr. Blue kwa kufiwa na mama yako mzazi.
Mungu alitoa,Mungu ametwaa.
Source.EATV.
 
Pole sana Mr Blue. Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu
 
Kwa niaba ya wana jf wote napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole mr. Blue kwa kufiwa na mama yako mzazi.
Mungu alitoa,Mungu ametwaa.
Source.EATV.

Pole sana Mr.Blue,tulimpenda Mama ila Mungu kampenda zaidi.

Raha ya milele umpe ee bwana na
mwanga wa milele umwangazie,apumuzike kwa amani Amina
 
Ni kijna mdogo sana kumpoteza mama yake................Bado alikuwa anahitaji malezi ya mama yake ili kufikia matarajio yake......... Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi........... Amina
 
pole Blue,rip mama yetu
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa msiba...
Mungu akutie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom