Imany John JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 2,935 Reaction score 1,185 Dec 19, 2011 #1 Kwa niaba ya wana jf wote napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole mr. Blue kwa kufiwa na mama yako mzazi. Mungu alitoa,Mungu ametwaa. Source.EATV.
Kwa niaba ya wana jf wote napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole mr. Blue kwa kufiwa na mama yako mzazi. Mungu alitoa,Mungu ametwaa. Source.EATV.
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Dec 19, 2011 #2 Pole sana Mr Blue. Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu
chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 902 Dec 19, 2011 #3 pole sana
Idimulwa JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,944 Reaction score 2,459 Dec 19, 2011 #4 LittleX said: Kwa niaba ya wana jf wote napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole mr. Blue kwa kufiwa na mama yako mzazi. Mungu alitoa,Mungu ametwaa. Source.EATV. Click to expand... Pole sana Mr.Blue,tulimpenda Mama ila Mungu kampenda zaidi. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumuzike kwa amani Amina
LittleX said: Kwa niaba ya wana jf wote napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole mr. Blue kwa kufiwa na mama yako mzazi. Mungu alitoa,Mungu ametwaa. Source.EATV. Click to expand... Pole sana Mr.Blue,tulimpenda Mama ila Mungu kampenda zaidi. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumuzike kwa amani Amina
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,421 Dec 19, 2011 #5 Ni kijna mdogo sana kumpoteza mama yake................Bado alikuwa anahitaji malezi ya mama yake ili kufikia matarajio yake......... Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi........... Amina
Ni kijna mdogo sana kumpoteza mama yake................Bado alikuwa anahitaji malezi ya mama yake ili kufikia matarajio yake......... Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi........... Amina
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,548 Reaction score 2,580 Dec 19, 2011 #6 pole sana kijana...
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,420 Dec 19, 2011 #7 ndiye nani huyo
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,712 Dec 19, 2011 #8 pole Blue,rip mama yetu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,152 Dec 19, 2011 #9 Pole kwa msiba... Mungu akutie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu
Black Rose JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 243 Reaction score 171 Dec 19, 2011 #10 Pole Mr Kabaisa! r.i.p mama
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,342 Reaction score 3,885 Dec 19, 2011 #11 bwana mdogo pole sana Mungu akupe nguvu
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Dec 19, 2011 #12 Rip maman.
raybse Senior Member Joined Oct 22, 2010 Posts 104 Reaction score 14 Dec 20, 2011 #14 Pole sna kaka!! Rip mama!!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 21, 2011 #15 pole sana
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Dec 21, 2011 #16 Poleni woote mlioguswa na msiba huu...
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Dec 22, 2011 #17 pole mama.
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Dec 22, 2011 #18 pole sana blue
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Dec 23, 2011 #20 pole sana mr blue.