Mr. Bluu ana kesi gani mahakama ya wilaya Kinondoni?

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Jana Ijumaa 9th june 2017 nilimuona msanii Mr Bluu akiwa mahakama ya wilaya ya Kinondoni analia baada ya kushushwa kwenye karandinga la polisi , pia nikaona watu nadhani ni ndugu zake wakiwa wamechanganyikiwa kuwauliza hawakunijibu ..lakini kwa uzoefu wangu ni criminal case kwa anaejua mtu huyu ana kesi gani?...kumbuka nahoji kwa kuwa yeye ni kiooo cha jamii na mimi ni mmoja wa wana jamii na hii ni jamii forum!!!!!!!
 
Kioo cha kubugia maunga??
 
Madawa ya kulevya hayajawahi kumuacha mtu salama
 
Huyo ni wa ngano ya Brazil wakati anatafutwa alikuwa nje ya nchi kwa kazi zake . Kumbukumbu zinaonesha alikuwa Oman.
Na tulikuwa hatujamuweka kwenye mikono salama ila sasa tayari.

Ila labda anamajanga mengine maana vijana wa siku hizi hakawii kusababisha zengwe kitaa.
 
Hahahaaaaa ulitaka kushuka verse hapo mwishoni
 
INAWEZEKANA VITA YA MADAWA BADO HAIJAKOMA KUWAACHA WATU SALAMA
 
..............haijawahi kumuacha mtu salama, umekuwa msemo humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…