Mr. Bluu ana kesi gani mahakama ya wilaya Kinondoni?

Akitoka Sega Dance malinda yote yatakuwa yashafumuka. Wait a second, mleta mada na wewe mahakamani ulifuata nini? Maana hawauzi chai pale!
 
Hakuna aliye na taarifa bado!???
 
Hahahaaa aiseee
Akitoka Sega Dance malinda yote yatakuwa yashafumuka. Wait a second, mleta mada na wewe mahakamani ulifuata nini? Maana hawauzi chai pale!
 
Akitoka Sega Dance malinda yote yatakuwa yashafumuka. Wait a second, mleta mada na wewe mahakamani ulifuata nini? Maana hawauzi chai pale!
Hahaha alienda nunua airtime
 
Ivi alienda kuitika wito majina yale ya pili ya ngada inawezekana kaitwa na bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…