donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mkuu,utaandika freestyle??Iyo mistari siunge iandika apaa ..wengine mb neg
Mkuu,utaandika freestyle??Iyo mistari siunge iandika apaa ..wengine mb neg
Ni.dope mzeeAisee
Kama inawezekana aandike tu ...hakuna namna mbona wasanii wanaandikaga mistarMkuu,utaandika freestyle??
U dont know n u dont know.that u dont knowKama inawezekana aandike tu ...hakuna namna mbona wasanii wanaandikaga mistar
Sikuwahi kujua kama jamaa anaweza freestyle..
jamaa ni so duh
U dont know n u dont know.that u dont know
Kuna jamaa anaimba kleeeeeee pum pum pum skiaaaaa
So nyie wadau wote hamjasikia Serengeti au kwenu ni Irrelevant ?
kweli aisee nilikua sijausikiliza vizuri mwanzo.So nyie wadau wote hamjasikia Serengeti au kwenu ni Irrelevant ?
Nimeiskia.the.flow like SerengetiSo nyie wadau wote hamjasikia Serengeti au kwenu ni Irrelevant ?
dah nimeshangaa,hlf it's pure freestyle,jamaa ana pumzi,ana talent na uwezo.Huyu jamaa ana pumzi si ya nchi hii
Hahahaha jamaa anaitwa big shaq wimbo unaitwa man's not hot jamaa katisha sanaKuna jamaa anaimba kleeeeeee pum pum pum skiaaaaa