Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record nyingi tangu itoke kuliko ngoma yoyote ya Nigeria lakini haipigwi sana kulingana na ukubwa wa ngoma yenyewe lakini unashangaa ngoma zingine hazina hata maajabu zinipigwa Sana na kupewa airtime kubwa kwasababu mwimbaji ni mnigeria na anaimba afrobeat.
Akaongeza kuwa sisi ni wa Afrika tunahitaji kuwa wamoja haijalishi unatoka nchi gani na ndio maana Kuna wakati nimeunga mkono harakati za Kenya kutakakutopiga ngoma za Nigeria haiwezekani wenzetu wanapiga ngoma zetu Sana wakati sisi tunajifanya wabinafsi Kuna pia miziki ya kilingala nayo inafanya vizuri lakini media zetu hazisapoti zaidi ya kun'gan'gania Afrobeat.
Mwisho kabisa Mr Flavour akatoa Ushauri kwanini media zetu zisiwe na vipindi maalumu vya kupiga ngoma za bongofleva na lingala ambazo zinaonekana zina nguvu na ikiwezekana na Aina nyingine za mziki.