Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Nigeria ni desturi yao wanakaa Sana mitatu au 4Kafa March anazikwa June...
Kwanini wamechelewa kuzika namna hiyo?
Hana ajualoMila za ovyo kweli,siku zote hizo mnamtesa mtu kwenye mafriji
Itakuwa hao wanaija wa kabila lake ni original Egyptians.Kabla ya ujio wa mochwari zenye majokofu,walikuwa wanatunzaje maiti kwa miezi 3 zamani
Aisee umenikumbusha kitu cha zamani kidogo,Wamenikumbusha shika neno tenda neno.nabii wao alipokufa waliamini angefufuka.weee
Dah poleni .walimuweka mapinga kule wakajua atafufuka.akaanza kubadilika wakaona isiwe tabu wakamzikaAisee umenikumbusha kitu cha zamani kidogo,
Bwana yule alitusababishia msiba ,
Nakumbuka baba yangu mkubwa alikia anasali kwake,
Basi akaja kupata magonjwa ya utu uzima sukari ,presha ndipo madaktari wakashauri kuwa kuna baadhi ya vyakula mzee asiguse ,
Nabii bwana alipojua akapiga marufuku
Na kumwambia mzee kula kila kitu hiyo mifuta futa usile kunywa kabisaa ,sijui chumvi weka mpaka kwenye kahawa yani tafrani mzee hakuchukua round akaishia
Huu utamaduni haushangazi sana kwa nchi za Nigeria, Ghana na Gambia I thinkKafa March anazikwa June...
Kwanini wamechelewa kuzika namna hiyo?