Elections 2010 MR II SUGU ameshinda ubunge kwa tiketi ya Chadema Mbeya Mjini

NkyaR

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
3
Reaction score
0
:israel:Habari zilizotufikia ni kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu hivi sasa ameshinda ubunge katika jimbo la mbeya mjini kupitia chama cha CHADEMA. Sugu ambaye ni mhasisi wa mziki wa Bongo Flava Tanzania tunamtakia mafanikio mema katika kuongoza Jimbo lake na muziki kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…